Posted on: May 26th, 2024
Kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Manyara imetembelea, kukagua,kuridhishwa na kupongeza utekelezaji wa Ilani wa ujenzi wa miradi mitatu yenye thamani ya Tshs 1,504,747,466 katika Halm...
Posted on: May 21st, 2024
Watu wenye mahitaji maalum 30 kutoka Vijiji vya Halmashauri ya Wilaya ya Babati wamepatiwa viti mwendo na shirika lisilo la Serikali la Chair for love ( kutoka Marekani) kwa kushirikiana na Chem...
Posted on: May 19th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Babati Lazaro Twange ameagiza Mhifadhi wa Mbuga ya Manyara kupita vijiji vilivyopakana na mbuga hiyo kutoa elimu ya kufukuza tembo kwa utaratibu ili kutoleta madhara na kuharibu maza...