Posted on: September 17th, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati anawakaribisha Wananchi wote kwenye mbio za mwenge wa Uhuru tarehe 19/9/2018 na mkesha utafanyika kata ya Gallapo....
Posted on: August 20th, 2018
Maofisa Ugani wametakiwa kutoa ushauri stahiki ili wakulima walime kwa tija na ufanisi waweze kuongeza pato lao na kukuza uchumi wa nchi. Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Elizabeth Kitundu...
Posted on: August 16th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Elizabeth Kitundu ameagiza Watendaji wa Vijiji na kata kusikiliza na Kutatua kero za wananchi katika maeneo yao. Hayo ameyasema leo kwa kwa nyakati tofauti wakati a...