Kamati ya fedha, utawala na Mipango huundwa kwa kuzingatia kanuni na sheria za Baraza la Madiwani, majukumu ya kamati hii ni kuzingatia mapato ya halmashauri yanakusanywa kutokana na
malengo yaliyokusudiwa na fedha zinatumika kutokana na sheria na miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali Kuu, kamati hii pia huhakikisha misingi ya sheria na katiba ya Jamuhuri ya Muungano
wa Tanzania inazingatiwa katika swala zima la uongozi na ajira katika idara ya rasilimali watu.Pia kamati hii huhakikisha bajeti ya Halmashauri imeundwa kwa kugusa kila nyanja ya uchumi na miradi yote
ya maendeleo inatelekezwa kwa wakati.
ORODHA YA WAHESHIMIWA WANAOUNDA KAMATI YA FEDHA,UTAWALA NA MIPANGO
NA
|
JINA
|
CHEO
|
KATA
|
1.
|
MHE. NICODEMUS K. TARMO -
|
MWENYEKITI H/W YA BABATI
|
MAMIRE
|
2.
|
MHE. JOHN SILVIN NOYA
|
MAKAMU MWENYEKITI
|
MADUNGA
|
3.
|
MHE. JITU SON V.
|
MBUNGE WA BABATI VIJIJINI
|
KIRU
|
4.
|
MHE. SELINA AMMI
|
M/KITI KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI
|
DAREDA
|
5.
|
MHE. CRESCENT KHADAY
|
M/KITI KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA
|
BOAY
|
6.
|
MHE. MICHAEL MELAU SARUNI
|
MJUMBE
|
NKAITI
|
7.
|
MHE. BERNARD BAJUTA
|
MJUMBE
|
UFANA
|
8.
|
MHE. JOHN J. BIM
|
MJUMBE
|
MAGARA
|
9.
|
MHE. FRANSIS LUUMI
|
MJUMBE
|
ENDAKISO
|
10.
|
MHE. JUMANNE DUKTA
|
MJUMBE
|
DABIL
|
11.
|
MHE. OMARY L. MAMBOLI
|
MJUMBE
|
GIDAS
|
12.
|
MHE. SABINI J. SARME
|
MJUMBE
|
AYALAGAYA
|
13.
|
MHE. ZAINABU OMARI DODO
|
MJUMBE
|
GALLAPO
|
14
|
MHE. PAULINA NARSIS
|
MJUMBE
|
MADUNGA
|
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.