Posted on: July 15th, 2022
Wananchi wa Kata ya Magugu H/ Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wameishukuru serikali kwa ujenzi wa shule mpya ya Sekondari ya Sarame katika kata yao. Hayo yamesemwa na Wenyeviti wa Vi...
Posted on: July 6th, 2022
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Babati Bi Anna P Mbogo amewataka watumishi waliopangiwa vituo vya kazi katika halmashauri ya Babati wafike mapema, wasajiliwe ili taratibu nyingine za kiutumishi...
Posted on: July 6th, 2022
Madiwani wa H/ Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamesisitiza vituo vya Afya vyote vilivyopokea fedha kutoka Serikali kuu kuhakikisha vinakamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma. Hayo yamesemwa...