Posted on: February 14th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Eng. Raymond Mushi amewata wananchi kulinda amani katika maeneo yote ya Vijiji na Vitongoji ili kujiletea maendeleo. Hayo amesema Katika Kijiji cha Luxmanda Kata ya Seche...
Posted on: February 14th, 2018
Wananchi Wilayani Babati wametakiwa kuanza kulima zao la Kahawa na Pamba ili kujipatia kipato na kukuza uchumi wa Viwanda. Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Raymond Mushi kwenye Kikao...
Posted on: January 22nd, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Ndg. Hamisi Idd Malinga ametengua madaraka ya Walimu Wakuu wa shule za Msingi 28 na Maofisa Elimu Kata 10 kutokana na kutofikia asilimia 50 ya uf...