Posted on: April 28th, 2023
Baraza la Madiwani limempongeza Mkurugenzi Mtendaji Ndg Anna Mbogo na Timu ya Menejimenti kwa kupata Hati safi kwa mwaka wa fedha 2021/2022.Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti Mhe. John Noya kwenye...
Posted on: April 27th, 2023
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Babati limeagiza maeneo yote ya taasisi yaliyoko Vijijini yapimwe na kupata hati ili yalindwe kisheria na kuzuia wavamizi. Mwenyekiti wa H/ Wilaya ya Bab...
Posted on: April 26th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Charles Makongoro Nyerere amewashukuru Wananchi wa Mkoa wa Manyara kwa kupanda miti na kufanya usafi maeneo mbalimbali katika kuelekea Maadhimisho ya kilele cha Miak...