Posted on: July 16th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Lazaro Jacob Twange ameagiza H/Wilaya ya Babati kuweka mkazo ktk ukusanyaji wa mapato ya ndani na kubuni vyanzo vipya ilikupata fedha za kutosha kukamilisha miradi....
Posted on: July 13th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Lazaro Jacob Twange amewataka Watumishi wanaokwenda kuhakiki kaya Masikini kuwa waaminifu na kufanya kazi hiyo kwa weledi mkubwa ili kuwezesha mradi wa TASAF ...
Posted on: July 9th, 2020
Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi Mhe.Selemani Jafo ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Babati na Wananchi wa Kata ya Magugu kwa usimamizi mzuri wa ujenzi mpaka kukamilika kwa kituo cha Afya ...