Posted on: August 5th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ameagiza viongozi na Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kukamilisha mapema miradi pendekezwa itakayopitiwa na Mbio za Mwenge Oktoba mwaka huu ....
Posted on: July 28th, 2023
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Anna Mbogo amewaomba Madiwani kutumia na kusambaza matokeo ya sensa ya mwaka 2022 katika kupanga mipango ya maendeleo ya kata. ...
Posted on: July 28th, 2023
Kata ya Secheda iliyoko katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara imepokea fedha kutoka Serikali kuu wa ajili ya ujenzi wa shule mpya ya sekondari. Akitoa Taarifa ya Serikali kwenye ...