Hatimiliki za ardhi zinapatikana kwa kufika idara ya ardhi halmashuri ya wilaya ya babati ili kupata malelekezo na ushauri ya kupata hatimiliki yako
Taratibu zinazotumika kumpandisha cheo mtumishi wa umma zimeainishwa katika Sera ya Menejimenti na Ajira katika Utumishi wa Umma ya mwaka 2008 ikisomwa kwa pamoja na Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003.
Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri tafadhali tembelea www.babatidc.go.tz kipengele cha Madiwani, sehemu iliyoandikwa ratiba.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.