Posted on: April 9th, 2018
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe. Jitu Soni wametoa mabati 230 kusaidia jitihada za wananchi wa Kata ya Gallapo katika ujenzi...
Posted on: April 6th, 2018
Watumishi wa Idara ya Afya na Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati wametakiwa kusimamia vyema na kwa weledi zoezi la umezeshaji dawa za Minyoo ya Tumbo katika shule za Msingi.Hayo yamesemwa na...
Posted on: March 26th, 2018
Wafadhili wa shughuli za maendeleo wa Shirika la Water Aid kutoka Canada wameipongeza Serikali ya Tanzania na Wananchi kwa kufanya kazi pamoja na ushirikiano mkubwa ili kujiletea Maendeleo. Hayo yames...