Posted on: November 3rd, 2023
Serikali imetoa fedha kiasi cha Tshs 180,000,000 kukarabati Shule Kongwe ya Msingi ya Gallapo iliyoko kata ya Gallapo H/ Wilaya ya Babati. Akitoa taarifa ya Serikali leo kwenye Mkutano wa ...
Posted on: November 2nd, 2023
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Babati limeomba shirika la Umeme la TANESCO mkoa wa Manyara kupeleka umeme katika taasisi zote za H/ Wilaya ya Babati. Hayo yamesemwa leo kwe...
Posted on: November 1st, 2023
Katika jitihada za serikali za kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma nzuri za afya kwa haraka na karibu na eneo anakoishi, Kituo cha Afya cha Bashneti katika kimenza kutoa huduma. Akizungumz...