Posted on: February 28th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Eng. Raymond Mushi leo trh 28.2 amepokea Madawati 47 yenye thamani ya Tsh. 5,000,000 kutoka Bank ya NMB tawi la Babati na kuyagawa Chuo cha Ualimu Mamire kilichoko ...
Posted on: February 26th, 2018
NGOs Wilayani Babati zimetakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano wa karibu sana na Serikali ili kuwaletea wananchi maendeleleo endelevu. Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Eng. Raymond Mushi kwe...
Posted on: February 17th, 2018
Mkurugenzi Mtendaji wa H/W ya Babati Mkoani Manyara Ndg Hamisi Malinga leo tarehe 17.02.2018 ameendelea kukagua ujenzi wa vyumba vya Madarasa Shule ya Secondari Kiru, Kata ya Kiru na...