Posted on: January 25th, 2019
Wasimamizi wa fedha katika ngazi za Vijiji,Zahanati,Vituo vya Afya na Shule wametakiwa kufuata taratibu za Manunuzi, sheria na kanuni katika Matumizi ya fedha za Serikali.Hayo ameyasema &n...
Posted on: January 23rd, 2019
Bank ya NMB tawi la Babati imetoa msaada wa vifaa vya Zahanati na shule vyenye thamani ya Tsh 15,000,000 kusaidia jitihada za jamii katika sekta ya Elimu na Afya kwa Zahanati ya Kijiji cha Gesbert &nb...
Posted on: January 22nd, 2019
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Ndg Hamisi Malinga ameutaka uongozi wa Jumuiya ya Wanyamapori Burunge(JUHIBU) kutumia vizuri fedha wanazozipata katika kuleta maendeleo ya Wananc...