Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira husimamia rasilimali zote za uchumi na kuzingatia hakuna uharibifu unaofanyika katika vyanzo vya mapato vya halmashauri, kamati hii huhakikisha miradi yote ya ujenzi huzingatia viwango vya ujenzi vilivyotolewa na serikali kuu na ujenzi unakamilika kwa wakati, pia kamati hii huhakikisha migogro ya ardhi inatatuliwa,rasilimali za misitu zinatunzwa na kuhakikisha hakuna utupaji taka hovyo utakaopelekea uharibifu wa Mazingira.
ORODHA YA WAHESHIMIWA WANAOUNDA KAMATI YA UCHUMI,UJENZI NA MAZINGIRA
NA
|
JINA
|
CHEO
|
KATA
|
1.
|
MHE. CRESCENT A. KHADAY
|
MWENYEKITI WA KAMATI
|
BOAY
|
2.
|
MHE. NICODEMUS K. TARMO
|
M/KITI H/W YA BABATI
|
MAMIRE
|
3.
|
MHE. JOHN KANDA MBUMBAZ
|
MJUMBE
|
QASH
|
4.
|
MHE. CHRISTINA KEMBE
|
MJUMBE
|
GALLAPO
|
5.
|
MHE. PROSPER FABIAN TEMU
|
MJUMBE
|
GALLAPO
|
6.
|
MHE. MARIAM KWIMBA
|
MJUMBE
|
MAGUGU
|
7.
|
MHE. ALLY SHABAN MUHIMBANI
|
MJUMBE
|
DURU
|
8.
|
MHE. FLAVIANA J. MASSAY
|
MJUMBE
|
MAMIRE
|
9.
|
MHE. SUKARINA M. AMMI
|
MJUMBE
|
AYALAGAYA
|
10.
|
MHE. KEREMU B. KEREMU
|
MJUMBE
|
KIRU
|
11.
|
MHE. PAULO ERO BOAY
|
MJUMBE
|
QAMEYU
|
12.
|
MHE. JOVITHA MANDOO
|
MJUMBE
|
BASHNET
|
13.
|
MHE. OYE CHARLES QWARAY
|
MJUMBE
|
RIRODA
|
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.