Posted on: December 20th, 2022
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Angellah Kairuki amesema hatasita kuwachukulia hatua stahiki kwa wale wote watakaovuruga na kufuja fedha za Mradi wa uboreshaji wa...
Posted on: December 10th, 2022
Watanzania wametakiwa kuendelea kulinda amani, umoja na mshikamano uliopo ili kupata ili kujiletea maendeleo. Hayo ameyasema Katibu Tawala Wilaya ya Babati Ndg Halfan Matipula leo kwenye Mdahalo...
Posted on: December 6th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa H/ Wilaya ya Babati Anna Mbogo amewaomba Wananchi kulinda na kutunza miradi inayojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Wananchi ili iweze kuleta maendeleo endelevu kwa vizazi v...