Posted on: August 17th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga amepongeza wananchi wa Kijiji cha Gidewari kata ya Dabal Halmashauri ya Wilaya ya Babati katika kuchangia Tsh 8,100,00 ujenzi wa madarasa matatu na ofisi moja...
Posted on: August 5th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ameagiza viongozi na Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kukamilisha mapema miradi pendekezwa itakayopitiwa na Mbio za Mwenge Oktoba mwaka huu ....
Posted on: July 28th, 2023
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Anna Mbogo amewaomba Madiwani kutumia na kusambaza matokeo ya sensa ya mwaka 2022 katika kupanga mipango ya maendeleo ya kata. ...