Posted on: July 9th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Babati, Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda, leo tarehe 09 Julai 2025 ameweka jiwe la msingi katika Mradi wa ujenzi wa boksi kalavati kwenye Barabara ya Mamire-Qash, unaotekelezwa kwa...
Posted on: July 8th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Babati imeanza kutoa chanjo ya mifugo Ili kuzua magojnjwa ya mifugo. Akikabidhi chanjo ya kuku leo katika viwanja vya H/Wilaya ya Babati iitwayo Tatu Moja kw...
Posted on: July 3rd, 2025
Mkuu wa Mkoa wa Manyara,Mhe.Queen Sendiga, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi nane (8) itakayopitiwa na Mwenge katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati.Ziara hiyo imefanyika leo, July 03,2025. Katika H...