Posted on: August 6th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Charles Makongoro Nyerere ameagiza Halmashauri zote za Mkoa wa Manyara kuwa miundombinu yote ya Shule zinazojengwa iwekewe mifumo ya kuvuna maji ya mvua kwa ajili ya...
Posted on: August 3rd, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Charles Makongoro Nyerere amewapongeza Wananchi wa kata ya Magara na Shirika la Africa Foundation kwa ujenzi wa shule mpya ya Kisasa iitwayo Tara Getty iliyoko...
Posted on: June 13th, 2021
June 13 2021 Mwenge wa uhuru umefanikiwa kupita wilayani Babati na kukagua miradi 3 ya maendeleo. Kiongozi wa mbio za mwenge 2021 Luteni Josephine Paul Mwampasho ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ...