Posted on: April 7th, 2020
Hospitali Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Babati imeamuliwa kujengwa Tarafa ya Mbugwe Kata ya Mwada Kijiji cha Mwada .Akisoma maelekezo ya Waziri wa Nchi Ofisi ya RaisTamisemi kwenye Mkutano ...
Posted on: April 2nd, 2020
Mwenyekiti wa H/Wilaya ya Babati Mhe. Nicodemus Tarmo amewataka Wananchi wa Kata ya Kisangaji kuendelea kuchangia ujenzi wa shule ya Sekondari ya Kata ili watoto wao wapate elimu bo...
Posted on: March 25th, 2020
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Ndg Hamisi Iddi Malinga ameagiza Wakuu wa Vituo na Zahanati kutoa huduma kwa ufanisi kwa Wananchi wote bila ubaguzi wowote hasa...