Kamati ya UKIMWI huhakikisha hakuna maambuki mapya ya UKIMWI, kasi ya maambukizi inapungua kwa kuhakikisha Elimu inatolewa juu ya adhari za UKIMWI pamoja na kuhamasisha jamii kutumia kinga wakati wa tendo la kujamiiana.
Pia usambazwaji wa kinga hizi katika maeneo ya vituo vya afya na sehemu zote zenye mikusanyiko ya watu.
ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI WANAOUNDA KAMATI YA UKIMWI
NA
|
JINA
|
CHEO
|
KATA
|
1.
|
JOHN SILVINI NOYA
|
MWENYEKITI WA KAMATI
|
MADUNGA
|
2.
|
TARMO NICODEMUS KWASLEM
|
MWENYEKITI
|
MAMIRE
|
3.
|
JITU VRAIJAL SONI
|
MBUNGE WA BABATI VIJIJINI
|
KIRU
|
4.
|
JUMANNE QARESI DUKTA
|
MJUMBE
|
DABIL
|
5.
|
JOVITHA MICHAEL MANDOO
|
MJUMBE
|
BASHNET
|
6.
|
MARIAM I. KWIMBA
|
MJUMBE
|
MAGUGU
|
7.
|
ZAINAB OMARI DODO
|
MJUMBE
|
GALLAPO
|
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.