Halmashauriya Wilaya ya Babati inazo shule za Sekondari 33 kati ya hizo 31 ni za Serikali na 2 ni za Watu Binafsi. Halmashauri ya Wilaya ina chuo kimoja cha Ualimu cha Mamire kilichopo kata ya Mamire kinachotoa kozi ya Ualimu ngazi ya cheti,
Halmashauriya Wilaya ya Babati ina shule za msingi 143 kati ya hizo 138 ni za Serikali na 5 ni za watu binafsi, Kwa kuhakikisha utoaji wa huduma bora za Elimu Halmashauriya Wilaya ya Babati imeendele kuboresha miundombinu kwa kuongeza ujenzi wa vyumba vipya vya madarasa, kuongeza madawati na vifaa vya kufundishia.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.