Posted on: April 6th, 2024
Wananchi wa kata ya Nar katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati wemepaza sauti za shukurani kwa Rais Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia fedha kiasi cha Tshs 89,400,000 kwa ajili ya ujenzi...
Posted on: April 2nd, 2024
Viongozi wa kuchaguliwa wametakiwa kuwatumikia wananchi wote bila kubagua tofauti zao ili kuwaletea maendeleo katika maeneo yao. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Lazaro Twange kwenye Mk...
Posted on: March 26th, 2024
*Mwananchi wa Manyara kupata Maji safi na salama ni haki yako ya msingi – RC Sendiga.Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga, amewaambia wananchi wa kijiji cha Gidabaghar kilichopo Halmash...