Posted on: May 4th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Babati imepata hati inayoridhisha katika Ukaguzi wa hesabu za mwaka 2016/2017.Akitoa taarifa za serikali kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani iliyofanyika katika ukumbi wa Hal...
Posted on: May 4th, 2018
Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji wametakiwa kuitisha na kufanya mikutano na Vikao Vya kisheri ili kuondoa migogoro isiyo ya lazima katika maeneo yao. Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Babat...
Posted on: May 3rd, 2018
Watumishi wa kada za afya , Fedha, Mipango na TEHAMA wametakiwa kutekeleza vizuri, Mipango, Direct health Financial Facility, ICHF iliyoboreshwa ili kutoa huduma nzuri na katika jamii. Akifungua mafun...