Posted on: February 23rd, 2018
Maofisa Elimu kata ktk H/W ya Babati wametakiwa kufanya Kazi ya kusimamia taaluma na kuyatekeleza kwa bidii ili kuinua kiwango chá Elimu na kufikia kiwango chá ufaulu wa asilimia 90 kilichowekwa...
Posted on: February 14th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Eng. Raymond Mushi amewata wananchi kulinda amani katika maeneo yote ya Vijiji na Vitongoji ili kujiletea maendeleo. Hayo amesema Katika Kijiji cha Luxmanda Kata ya Seche...