• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Viongozi Watumikieni Wananchi Bila Ubaguzi

Posted on: April 2nd, 2024

Viongozi wa kuchaguliwa wametakiwa kuwatumikia wananchi wote bila kubagua tofauti zao ili kuwaletea maendeleo katika maeneo yao. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Lazaro Twange kwenye Mkutano wa kusikiliza na kutatua kero uliofanyika leo ofisi za Kijiji cha Hyasem kata ya Ayalagaya H/ Wilaya ya Babati. " viongozi wasikilizeni wananchi  wote bila kuwabagua" amesisitiza kiongozi huyo. Katika Mkutano huo wananchi wamelalamika kuwa  Mwenyekiti wa Kijiji hicho Ndg  Martin Safari    haitishi vikao vya kisheria, anatumia,  madaraka yake vibaya na anakwamisha shughuli za maendeleo katika kijiji hicho. Naye Mkuu wa Wilaya amewaeleza wananchi kuwa kwa siku zilizobaki mwenyekiti huyo ajitathimini kama kweli anaongoza kijiji hicho kwa kufuata sheria kanuni na taratibu. Mhe. Twange kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa H/ Wilaya Babati, Meneja TANESCO , Meneja TARURA na Meneja RUWASA wametatua kero mbalimbali za wananchi na ziara ya Mkuu wa Wilaya ya kutatua kero kijiji cha kijiji inaendelea

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 25, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 03, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA JUU YA OPOTOSHAJI KUUNGANISHWA KWA MFUMO WA UCHAGUZI NA MIFUMO MINGINE August 24, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Waziri Kikwete Azindua Mifumo ya Uchakataji Maswala ya Ajira, Migogoro na Anwai

    August 24, 2025
  • DC Kaganda Atoa Wito Kwa Vijana Kujikita Katika Kilimo na Ufugaji

    August 05, 2025
  • Watendaji wa Uchaguzi Watakiwa Kujituma ili Kufanikisha Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu

    August 05, 2025
  • Mkurugenzi Mtendaji Aelekeza Mafunzo ya NAPA yatolewe kwa Vitendo

    July 17, 2025
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.