Wananchi wa kata ya Secheda Halmashauri ya Wilaya ya Babati wamemshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassani kwa kutoa fedha kiasi cha Tshs 584,280,028 kwa ujenzi wa Shule mpya Msingi katika shule hiyo mpya."Tunaomba umpeleekee shukurani Mhe Rais kuwa sisi wananchi wa Secheda tunamshukuru sana" Naye Mwenyekiti wa Wilaya ya Babati Mhe.John Noya amesema Tulipokea fedha hizo tukasimamia ujenzi Tunashukuru sana Serikali . Kabla ya kuweka jiwe la Msingi Mhe. Sendiga amewapongeza wananchi wa kata ya secheda kwa kusimamia ujenzi wa shule hiyo Moja ya miradi iliyotekelezwa kwa force Akaunti ni Miradi huu hongereni sana wananchi" amesisitiza Mhe. Sendiga .Kwa mara nyingine tena Mkuu wa Mkoa ameagiza Watendaji wa vijiji Mitaa na kata kuitisha mikutano ya vijiji kueleza mafanikio ya Mhe. Rais
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.