• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Sekondari ya Duru Yakabithiwa Mashine ya Kudurufu

Posted on: March 21st, 2025

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini, Mheshimiwa Daniel Baran Sillo, ameendelea kutimiza ahadi zake kwa wananchi kwa kukabidhi mashine ya kushapishia na kutoa nakala (photocopy machine) katika Shule ya Sekondari Duru.

Akikabidhi mashine hiyo, Mheshimiwa Sillo amepsema kuwa amekuwa akitoa mashine za kuchapisha mitihani katika shule mbalimbali za sekondari na msingi ndani ya jimbo lake, jambo ambalo limechangia kwa kiasi kikubwa kuboresha mazingira ya elimu na kuongeza ari ya ufaulu miongoni mwa wanafunzi.Kwa upande wake, Katibu wa Bodi ya Shule ya Sekondari Duru, Lucas Qwaray,akisoma taarifa kwa niaba ya shule, ameeleza kuwa msaada huo utasaidia kuzalisha mitihani kwa urahisi zaidi na kupunguza gharama ambazo shule ilikuwa inatumia awali kwa uchapishaji wa mitihani.Aidha, imeelezwa kuwa mashine hizo zinazotolewa na Mheshimiwa Sillo katika shule mbalimbali zinatokana na fedha za mshahara wake, hatua inayoonyesha dhamira yake ya dhati katika kuinua kiwango cha elimu katika jimbo la Babati Vijijini.Walimu na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Duru wameelezea furaha yao na kumshukuru Mheshimiwa Sillo kwa msaada huo, wakisema kuwa utawasaidia sana katika urahisi wa maandalizi ya mitihani na nyaraka nyingine muhimu za shule.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 25, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 03, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WASIMAMIZI VITUO VYA WAPIGA KURA June 30, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • DC Kaganda Aweka Jiwe la Msingi Mradi wa Boksi la Kalavati Mamire- Qashi

    July 09, 2025
  • Maofisa Ugani Waagizwa Kutoa Chanjo Kwa Weledi

    July 08, 2025
  • RC Manyara Akagua Miradi ya Zaidi ya Bilioni Sita Babati DC

    July 03, 2025
  • Zoezi la Utambuzi na Utoaji Chanjo Laanza Rasmi Mkoani Manyara

    July 03, 2025
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.