• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC Queen Azindua Shule Mpya ya Msingi Vilima Vitatu

Posted on: July 20th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga  ameishukuru Kampuni Intracom fertilizers Limited kwa ujenzi wa Shule ya Msingi mpya ya Vilima vitatu. Shule hii imejengwa kata ya Nkait, kijiji cha Vilima vitatu Halmashauri ya Wilaya ya Babati. Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo leo katika hafla ya makabidhiano na uzinduzi wa shule hiyo  uliofanyika katika shule ya Msingi mpya ya Vilima Vitatu  "Mimi nawashukuru sana kampuni ya Itracom fertilizers na ninawakaribisha muendelee kuwekeza mkoa wa Manyara " amesisitiza kiongozi huyo. Wakati huo huo amemshukuru Mhe. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania  kwa kuendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wawekezaji. Mhe. Sendiga  ameagiza uongozi wa kiwanda hicho kutangaza ajira zote wazi ili vijana wenye sifa waweze kuomba na kusisitiza kuwa wazawa wakipata ajira wataona faida za wawekezaji na watakuwa walinzi wa kiwanda hicho. Mwenyekiti wa Bodi ya Itracom Capt John Chiligati ameshukuru serikali kwa kukubali kampuni kuwekeza  na akaomba shule hiyo itunzwe  kwa maendeleo ya vizazi vijavyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 25, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 03, 2024
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI May 11, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Afisa Mwandikishaji Afungua Mafunzo Awamu ya Pili Uandikishaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura

    May 15, 2025
  • Uongozi wa IPOSA waipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Babati.

    May 13, 2025
  • Naibu Waziri Sillo Azindua Bweni la Wasichana Wiayani Babati

    May 10, 2025
  • Viongozi wa Kisiasa Wakubali Kutoa Elimu Awamu ya Pili Daftari la Wapiga Kura

    May 08, 2025
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.