Baraza la Madiwani wa Halmashaurii ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara wamempongeza Mbunge wa Babati Vijiji Mhe Daniel Sillo kwa kutoa fedha zake kusaidia jitihada za jamii katika kukamilisha miradi ya maendeleo . Hayo yamesema na Mwenyekiti wa Baraza hilo Mhe John Noya na Katibu wake Anna Mbogo kwa nyakati tofauti leo kwenye Kikao cha kwanza Baraza la Madiwani kilichofanyika ktk Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati ."Tunamshukuru sana Mhe Mbunge Mhe Sillo kwa kutoa fedha zake na kutafuta wadau wa maendeleo kusaidia jitihada za jamii katika ujenzi wa Miradi" Mhe Silllo amechangia Photocopy mashine,bati cement na vitu vingine vingi ktk miradi kwa kata zote amesisitiza Mkurugenzi Mtendaji .
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.