Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amezindua miongozo mitatu na mifumo ya kielektroniki miwili ambayo inalenga kuimarisha uratibu, usimamizi na uendeshaji wa masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu.Miongozo na Mifumo iliyozinduliwa ni pamoja na Mwongozo wa Majadiliano baina ya Serikali, Vyama vya Wafanyakazi na Vyama vya Waajiri wa Mwaka 2025, Mwongozo wa Uratibu wa Vyama vya Watu Wenye Ulemavu wa Mwaka 2025, Mwongozo wa Wakala Binafsi wa Ajira wa Mwaka 2025, Mfumo wa Kitaifa wa Kieletroniki wa Taarifa za Soko la Ajira wa Mwaka 2025 na Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Mashauri ya Usuluhishi na Uamuzi wa Mwaka 2025.
Akizindua mifumo hiyo jijini Dodoma, Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema kuwa miongozo na mifumo itasaidia kujenga misingi ya majadiliano
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.