Mwakilishi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara aliyemuwakilisha Katibu Tawala katika uzinduzi wa Baraza la kwanza la Madiwani amewaelekeza madiwani watiochaguliwa kuzingatia yafuatayo:-
Kuzingatia Ukusanyaji mapato
Umaliziaji wa miradi iliyotengewa na bajeti
Mahusiano mazuri
Kusimamia vizuri matumizi ya fedha za Serikali
Uendelezaji maeneo ya biashara
Utatuzi wa kero za wananchi
Kufuata sheria kanuni na miongozo ya serikali
Usimamizi wa vikao vya kisheria
Usimamizi chakula mashuleni
Pamoja na kuwa walinzi wema wa amani katika maeneo yao
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.