Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa ameishukuru Halmashauri ya Wilaya ya Babati kwa kuendelea kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa ajili ya Mfuko wa Wanawake ,Vijana na Watu wenye ulemavu. Kiongozi huyo ameyasema hayo alipofika kwenye Kikundi cha Mahea kilichoko kijiji cha Bashnet kata ya Bashnet kuona mradi wa wajasiliamali."Nimefurahi sana kuona vijana wakijishughulisha na uuzaji wa simu ,Halmashauri iendelee kutoa asilimia 10 za makundi maalum ili wajiendeleze kiuchumi.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.