• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wakulima Washauriwa Kuliima Mazao ya Biashara

Posted on: October 31st, 2018

Wakulima wameshauriwa kulima Mazao yenye  masoko ya kibiashara  ili waweze kujipatia faida na kuongeza kipato. Hayo ameyasema Mkuu wa Wilaya ya Babati Mh Elizabeth Kitundu kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Babati  uliofanyika léo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati. Mhe Mkuu wa Wilaya ameyasema hayo baada ya Afisa Kilimo, Ushirika na Umwagiliaji Jetrida Kyekaka  kutoa taarifa ya mwelekeo wa kilimo kwa msimu wa Mwaka 2018/2019 unaoanza mwezi Novemba mwaka huu. "Waheshimiwa Madiwani kama mlivyosikiliza taarifa ya Afisa Kilimo na Ushirika wahamasishe wananchi katika maeneo yenu walime, Pamba, Pareto, Kahawa, Maharage machanga ,Mahindi , mihogo na Miwa ambayo ni mazao ya kimkakati, yanafaida na yanasoko lá ndani na nje ya nchi" amesisitiza Mkuu wa Wilaya. Diwani wa Kata ya Kisangaji Mhe. Adam Ipingika naye ameomba Timu ya Maofisa Kilimo kutembelea kila kata kuhamasisha kilimo cha Maharage machanga kwani zao hilo lina soko hapa nchini na nchi jirani ya Kenya. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Hamisi Malinga amesisitiza Wananchi wa Tarafa ya Mbugwe kulima kwa Wingi zao lá Pamba na Miwa kutokana na kuwa na bei nzuri na kufunguliwa kwa Kiwanda cha kuchambua Pamba chá Hanang Cotton Mill na Kiwanda cha Sukari chá Manyara Sugar  yeyote viko kata ya Magugu  katika  Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mkoani  Manyara.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA September 25, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 03, 2024
  • TANGAZO LA UKODISHAJI VIBANDA KITUO CHA AFYA MAGUGU January 09, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Viongozi wa Kisiasa Wakubali Kutoa Elimu Awamu ya Pili Daftari la Wapiga Kura

    May 08, 2025
  • Wajumbe wa Baraza la Madiwani Waishukuru Serikali

    May 07, 2025
  • Wananchi Jitokeze Kuboresha Taarifa Kwenye Zoezi la Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

    May 07, 2025
  • Kituo Cha Afya Gallapo Kimepata Gari la Wagonjwa

    May 07, 2025
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.