Mkuu wa wilaya ya Babati Mh Emanuela Mtatifikolo Kaganda katika uzinduzi wa mkutano wa kwanza wa baraza la Madiwani ameelekeza Baraza jipya la Madiwani kuzingitia yafutayo
Ukusanyaji mapato
Kusimamia miongozo
Kusimamia miradi ya maendeleo ikamilike kwa wakati
Mgawanyo wa fedha za miradi kwa uwiano sahihi
Kusimamia utekelezeji wa ilani ya Chama Cha Mapinduzi
Kulinda na kutunza Amani na usalama
Kuacha tabasamu kwa wananchi kwa kuwatumikia kwa welediwani kama ilivyo kiu ya Rais wa Jamuhuri wa Muuungano wa Tanzania
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.