Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Makongoro Nyerere ameipongeza H/ Wilaya ya Babati kwa ununuzi wa gari Lori aina ya Damping truck,faw tani 22 , fedha za Mapato ya ndani,kwa ajili ya ujenzi wa Miradi ya Kimkakati. Kiongozi huyo ameyasema hayo leo kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa gari hilo uliofanyika leo makao makuu Dareda. "Nawapongeza sana kwa ununuzi wa gari hili litasaidia katika ujenzi wa miradi ya wananchi katika maeneo yote ya Halmashauri,gari hili litunzwe na litumike kwa kazi zilizokusudiwa. amesisitiza kiongozi huyo.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.