Mkuu wa Wilaya ya Babati Mstaafu Mhe. Eng Raymond Mushi amewaaga wananchi wa Wilaya ya Babati kwa kuwashukuru Kwa ushirikiano waliompa wakati wote alipokuwa akitekeleza majukumu yake kama Mkuu wa Wilaya ya Babati. Mkuu wa Wilaya huyo ametumia Mkutano wa Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Babati kuwaaga wananchi na kuwashukuru kwa kumpa ushirikiano wakati wote alipotekeleza majukumu yake.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.