Mkurugenzi Mtendaji wa H/W ya Babati Mkoani Manyara Ndg Hamisi Malinga leo tarehe 17.02.2018 ameendelea kukagua ujenzi wa vyumba vya Madarasa Shule ya Secondari Kiru, Kata ya Kiru na ujenzi wa Zahanati ya kijiji chá Sabilo katika Kata ya Dabil, Tarafa ya Bashnet Kisha kusikiliza kero za Wananchi ktk Kijiji chá Maganjwa Kata ya Dabil ambapo wananchi wamemuomba Shule ya Shule ya Secondari ya Maganjwa iliyojengwa tangu mwaka 2009 ifunguliwe. Mkurugenzi Mtendaji amekubali ombi hilo na kuwaomba wamalize ujenzi wa majengo yaliyobaki.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.