• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Chanjo Dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi Itolewe kwa Wakati

Posted on: April 22nd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe Lazaro Twange ameagiza Watumishi na watoa huduma wote wanatoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi kufanya kazi hiyo kwa kujituma, bidiii  na uaminifu mkubwa . Mhe.Twange ameyasema hayo leo kwenye kikao cha Afya ya Msingi kilichofanyika leo makao makuu ya H/ Wilaya ya Babati. " Kazi ya chanjo tuifanye kwa uaminifu na kwa wakati kwani saratani ya mlango wa kizazi inaathari kubwa kwa afya ya wanawake ulimwenguni kote" amesisitiza kiongozi huyo. Mhe Twange amesema changamoto zitakazojitokeza katika utekelezaji wa zoezi hili  zitolewe taarifa na zitatuliwe kwa wakati ili zoezi hili likamilike kwa wakati. Naye Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati  Dkt Hosea Madama amesema Zoezi  la chanjo ya (HPV Vaccine)dhidi ya ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa kizazi inaanza leo tarehe 22.4 hadi 26.4.2024 na walengwa ni wasichana  kuanzia miaka 9 had 14 wajitokeze kwa wingi

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGA KURA October 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 November 06, 2025
  • MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA MADIWANI December 01, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Waajiri Watakiwa Kusimamia Maadili Mahali pa Kazi

    January 09, 2026
  • Waajiri Dumisheni Ushirikiano, Naibu Waziri Utumishi Mh. Qwaray

    January 09, 2026
  • Wananchi Waipongeza Serikali

    January 06, 2026
  • Naibu Spika Alipongeza Shirika la So They Can

    January 06, 2026
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.