• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC Kaganda wapongezwa Walimu Kwa kufanya vizuri mwaka 2025

Posted on: February 16th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe Emmanuela Kaganda amewapongeza walimu wote waliofundisha kidato cha Nne  katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mpaka kufahulisha Kwa asilimia 99.8. kwa mwaka 2025. Mhe Kaganda ameyasema hayo leo kwenye Hafla ya kuwapongeza walimu wote waliofundisha kidato cha Nne kwa mwaka  2025 iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ayalagaya Sekondari.  "Tunashukuru Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan  kwa kuboresha  mazingira ya kufundisha na kufundishia yaliyopelekea shule nyingi za Halmashauri ya Wilaya Babati  kufanya vizuri ' amesisitiza kiongozi huyo. Mhe Kaganda ameagiza Wakuu wa Shule kulinda na kutunza  miundombinu ya shule hizo akasisitiza kila mwisho wa mwaka mara baada ya kidato cha nne kumaliza Madarasa hayo kupakwa rangi kwa kushirikiana na wazazi.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Anna Mbogo amewapongeza Walimu hao kwa kazi nzuri waliofanya kwa mwaka 2025 akiwasihi wasibweteke na matokeo yaliyopatikana bali waongeze bidii za ufundishaji na malezi .Mkurugenzi Mbogo amesisitiza Kila shule kuweka Maandalizi mapema ya mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza kwa mwaka 2028 . Aidha Mkurugenzi Mbogo ameshukuru Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Babati Vijiji  Mhe Daniel Sillo kwa mchango wake wa mkubwa wa kuboresha Elimu.

Wakati huo huo Mkurugenzi Mbogo amewashukuru Wadau wa Maendeleo wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kwa kuwa chachu katika matokeo ya mwaka 2025. Hafla ya kuwapongeza walimu waliofundisha kidato cha Nne 2025 imeenda sambamba na utoaji wa zawadi kwa shule zote na imehudhuliwa na Viongozi mbalimbali Kutoka Mkoani na Wilaya ya Babati

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGA KURA October 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 November 06, 2025
  • MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA MADIWANI December 01, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Mwenyekiti Noya asisitiza ushirikiano katika ukusanyaji Mapato

    February 17, 2026
  • DC Kaganda wapongezwa Walimu Kwa kufanya vizuri mwaka 2025

    February 16, 2026
  • Waganga Wakuu watembelea kituo cha Afya Dareda

    February 11, 2026
  • Madiwani watakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano

    February 11, 2026
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.