Friday 27th, December 2024
@Sesheda ward Babati DC
Mkuu wa Wilaya ya Babati amewakataza wananchi kuacha ubinafsi katika kutumia Rasilimali ya Maji. Mkuu huyo wa Wilaya ameyasema hayo katika Kijiji cha Luxmanda Kata ya Secheda wilaya Babati mbele ya Wanawake wanopinga kulipia maji na Kufungiwa mita za maji" Ninachokiona hapa ni ubinafsi kwa baadhi ya Wananchi kutaka kutumia maji peke yao kuliko wengine" kitu ambacho si kizuri. Mkuu wa Wilaya alisisitiza kuwa Maji ni Rasilimali ya wote na kila mtu anahitaji katika maisha yake yote, hivyo ni lazima iwekewe utaratibu ili kila mtu anufaike nayo. Katika Maongezi yake ameomba wananchi na wadau wote wanaohusika na Maji kata za Ufana,Secheda na Nar kukaa pamoja tarehe 01/08/2017 ili kutatua
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.