Friday 27th, December 2024
@
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Ndg. Hamisi Iddi Malinga amewaleza Madiwani kwenye Kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati kuwa, amepokea maelekezo kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara kutambua Walimu wa Sekondari wa masomo ya Arts waliozidi ili kuhamishiwa Shule za Msingi za Halmashauri ya Wilaya zilizo karibu.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.