Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe Daniel Sillo akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Vikundi vya ujasiliamari kwenye hafla ya uzinduzi wa CRDB foundation iliyozinduliwa Leo Halmashauri ya Wilaya ya Babati katika Ukumbi wa shule ya Sekondari Ayalagaya yenye. CRDB foundation ina lengo la kutoa mikopo Kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye mahitaji maalum bila riba.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.