• Wasiliana nasi |
    • Maswali yaulizwayo Mara kwa Mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Babati District Council
Babati District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Babati

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
      • Chimbuko/Asili
      • Ukubwa wa Eneo
      • Hali ya Hewa
      • Shughuli za Kiuchumi
      • Orodha ya Viongozi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mpango Mkakati
  • Utawala
    • Muundo wa Uongozi
    • Idara
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango Ufuatiliaji na Takwimu
      • Ardhi mali Asili na Wanyamapori
      • Maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii
      • Kilimo na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mazingira na Usafi wa Mazingira
      • Afya
    • Vitengo
      • Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ufugaji nyuki
      • Teknologia ya Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Uchaguzi
    • Link ya Machapisho ya Idara/Vitengo
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Kiofisi au Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Wilaya Babati awapogeza Wadau wa Maendeleo

Posted on: February 7th, 2026

Mkuu wa Wilaya ya Babati Mhe. Emmanuela  Kaganda  na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Anna Mbogo wamepongeza Wadau wa maendeleo walioko katika H/ Wilaya ya Babati kwa kushirikiana na Serikali katika kuwaletea Wananchi maendeleo . Viongozi hao wameyasema hayo leo kwenye  Kikao maalum cha kamati ya ushauri  ya Wilaya (DCC)  cha kujadili mapendekezo ya Mpango na Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya kwa mwaka 2026/2027 kilichofanyika katika   katika Ukumbi wa Halmashauri ambapo Halmashauri Wilaya ya Babati. TARURA, RUWASA , BAWASA , Shirika  Karimu Foundati na So They Can  (STC) wamewasilsha mipango na Bajet zao. "Tunawashukuru sana wadau wote wa maendeleo  katika Halmashauri ya Wilaya kwa kushirikiana na Serikali kuwaletea  Wananchi  maendeleo wamesisitiza viongozi hao. Kwa upande wa Mkurugenzi Mtendaji Anna Mbogo ameomba wadau hao kuweka mpango wa kujenga Madarasa  ya kidato cha kwanza kwa ajili ya mapokezi ya wanafunzi Kwa  mwaka 2028 ambapo wanafunzi walipo sasa darasa la Sita  na walioko darasa la Tano mwaka huu  wote kwa pamoja watakutana Kidato Cha kwanza mwaka 2028.

Wakati huo  huo Mhe. Kaganda amesisitiza TARURA wanapotengeneza Barabara kuhakikisha wanatengeneza mitaro ya maji na kushughulikia maeneo yote korofi kwenye Barabara.

Kwa upande wa RUWASA na BAWASA , Mhe Kaganda amewasisitiza   wanapojenga miradi ya maji wahakikishe  maji yanafikishwa kwenye Taasisi  Umma mf shule  hospital na vituo vya Afya.. Kikao Cha kamati ya Ushauri  Wilaya  kimehudhuriwa na Kamati ya Ulinzi na Usalama, Viongozi wa Vyama vya siasa, Watendaji na wataalamu Kutoka Taasisi , Idara na wakala wa Serikali zilizomo katika Hamshauri ya Wilaya ya Babati.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WASIMAMIZI WA VITUO VYA KUPIGA KURA October 04, 2025
  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2025 November 06, 2025
  • MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA MADIWANI December 01, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA UFUNDI 2020 June 17, 2020
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Waganga Wakuu watembelea kituo cha Afya Dareda

    February 11, 2026
  • Madiwani watakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano

    February 11, 2026
  • Uzinduzi wa CRDB Foundation Halmashauri ya Wilaya ya Babati

    February 10, 2026
  • Mkuu wa Wilaya Babati awapogeza Wadau wa Maendeleo

    February 07, 2026
  • Angalia zote

Video

MAKALA YA ELIMU IKIANGAZIA SWALA LA TAALUMA NA HALI YA UFAULU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA BABATI
video zaidi

Viunga vya haraka

  • Watumishi portal
  • Lgrcis dashborad
  • Salary silpportal
  • Ramani ya Halmashauri

Tovuti Mbalimbali

  • Tovuti ya Ofisi ya Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • Ofisi ya Raisi,Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI
  • Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara
  • Halmashauri ya Wilaya Ya Kiteto
  • Secretarieti ya Ajira

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani Ya Eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya wilaya ya Babati

    Anwani: P.O BOX 400, Babati.

    Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011

    Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577

    Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani Ya Tovuti

Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.