Friday 26th, April 2024
@UWANJA WA DAREDA
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya wilaya ya Babati anapenda kuwakaribisha wananchi wote kushiriki mbio za mwenge siku ya jumamosi 14 June 2019 mwenge utapokelewa kutoka wilaya ya Mbulu utapita katika miradi yote ya maendeleo kisha kuhitimisha katika viwanja vya Dareda.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.