Friday 27th, December 2024
@
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Babati Mhe Nicodemus Tarmo aliwaeleza wajumbe na wananchi kwenye Mkutano wa
Baraza La Madiwani uliofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya kuwa kwa mwaka wa fedha 2015/2016 Halmashauri ya Wilaya ya Babati imepata Hati safi
Mwenyekiti huyo aliwaeleza wajumbe kuwa ukaguzi wa fedha uliofanywa na Mkaguzi wa nje (Nao) kwa mwaka wa fedha 2015/2016 ulioishia juni 30,2016
Halmashauri ya Wilaya ya Babati imepata hati safi
Kwenye mkutano huo aliwashukuru wajumbe wa Baraza la Madiwani ,Mkurugenzi Mtendaji na Watendaji wote kwa kazi kubwa walioifanya na kuwataka
kuendelea kufanya vizuri na kuilinda hati hiyo miaka ijayo.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.