Friday 27th, December 2024
@
Halmashauri ya Wilaya ya Babati imetangaza vikao vya Robo ya pili ya Mwaka 2017/2018, Vikao Maalum vyote vitajadili makisio ya Bajeti kwa mwaka 2017/2018 na vikao vya kawaida vitajadili shughuli za utekelezaji kwa mwaka 2017/2018
|
S/N
|
JINA LA KAMATI
|
TAREHE YA KIKAO MAALUM
|
TAREHE YA KIKAO CHA KAWAIDA
|
|
1
|
BARAZA LA WAFANYAKAZI
|
01/03/2018
|
|
|
2
|
KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI
|
01/08/2018
|
01/15/2018
|
|
3
|
KAMATI SHIRIKISHI YA KUDHIBITI UKIMWI
|
01/03/2018
|
01/10/2018
|
|
4
|
KAMATI YA UJENZI NA MAZINGIRA
|
01/05/2018
|
01/17/2018
|
|
5
|
KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI
|
01/04/2018
|
01/19/2018
|
|
6
|
BARAZA LA MADIWANI
|
01/12/2018 - 01/13/2018
|
01/30/2018 - 01/31/2018
|
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.