Halmashauri ya wilaya ya Babat ina vivutio vingi vya Utalii ikiwemo mbuga ya Tarangire, ziwa manyara pamoja na ziwa Burunge sekta ya Utalii imekuza uchumi wa wananchi wa Halmashauri ya wilaya ya Babati, Halmashauri ya wilaya ya Babati inawakaribisha watu wote nje na ndani ya nchi kutembelea vivutio vya kitalii kujione maajabu yaliyomo katika hifadhi ya Tarangire, ziwa Manyara, mila na desturi za jamii ya kiiraki pamoja na hali nzuri ya hewa.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.