Halmashauri ya Wilaya ya Babati inawakaribisha watanzania wote kutumia fursa ya kilimo cha,alizeti, maharage mbaazi,mahindi,dengu, ngwara,pamoja na ufuta. Halmashauri ya Wilaya ya Babati ina ardhi nzuri yenye rutuba inayostahimili uzalishaji mkubwa wa mazao ya biashara pamoja na chakula hali ya hewa ni rafiki, misimu miwili ya mvua huongeza uzalishaji kwa kiwango kikubwa.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.