TAARIFA KWA UMMA
Mkurugenzi Mtendaji wa H/Wilaya ya Babati Ndg. Anna Mbogo anawashukuru, Madiwani, Watumishi, Wamiliki wa magari na Wananchi wote kwa ujumla kwa kujitoa kuja Babati Mjini Kumkaribisha na kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 23/11/2022.
Mkurugenzi Mtendaji anasema asanteni sana na Ushirikiano huo uendelee! Mungu Awabariki
Imetolewa
Kitengo Cha Mawasiliano ya Umma.
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.