Wananchi wa Kijiji cha Guse Kata ya Bashnet katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati, wameishukuru serikali kwa kuweka utaratibu mzuri wa uandikishaji kwenye Daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za Mitaa mwezi Novemba .Hayo ameyasama Mzee Simon Tlatla wakati akiangalia jina lake kwenye ubao wa Matangazo ya kijiji hicho yaliyobandikwa kuanzia tarehe 18/10."Nawashukuru sana viongozi wa serikali kwa kuweka utaratibu mzuri tumejiandikisha kisha Leo tumekuja kuhakiki majina yetu yako sahihi" amesisitiza mzee huyo
Halmashauri ya wilaya ya Babati
Anwani: P.O BOX 400, Babati.
Simu ya mezani: Simu Na. 027-2531011
Simu ya Kiganjani: 0620444641,075486577
Barua pepe: info@babatidc.go.tz,ded@babatidc.go.tz
Copyright ©2020 Babati District Council . All rights reserved.